1 Samuel 12:19

19 aWatu wote wakamwambia Samweli, “Mwombe Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa ajili ya watumishi wako, ili tusije tukafa, kwa kuwa tumeongeza uovu juu ya dhambi zetu nyingine kwa kuomba mfalme.”

Copyright information for SwhKC