Deuteronomy 12:18

18 aBadala yake, mtakula vitu hivyo katika uwepo wa Bwana Mwenyezi Mungu wenu mahali ambapo Bwana Mwenyezi Mungu wenu atapachagua: wewe, wana wako na binti zako, watumishi wako wa kiume na wa kike, na Walawi kutoka miji yenu. Mnatakiwa mfurahi mbele za Bwana Mwenyezi Mungu wenu kwa kula kitu mtakachoweka mikono yenu.
Copyright information for SwhKC