Deuteronomy 26:19

19 aAmetangaza kwamba atawaweka juu kuliko mataifa mengine aliyoyafanya katika sifa, kuwa fahari na heshima, na kwamba mtakuwa taifa takatifu kwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu, kama alivyoahidi.
Copyright information for SwhKC