Deuteronomy 32:14


14 akwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ng’ombe
na kutoka makundi ya mbuzi,
kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi,
kwa kondoo dume wazuri wa Bashani,
na kwa ngano nzuri.
Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu.

Copyright information for SwhKC