Ephesians 1:19-20

19 ana uweza wake mkuu usiolinganishwa kwa ajili yetu sisi tuaminio. Uweza huo unaofanya kazi ndani yetu, ni sawa na ile nguvu kuu mno 20 baliyoitumia katika Al-Masihi alipomfufua kutoka kwa wafu, na akamketisha mkono wake wa kuume huko mbinguni,
Copyright information for SwhKC