Esther 8:2

2 aMfalme akaivua pete yake ya muhuri, ambayo alikuwa amemnyang’anya Hamani, akampa Mordekai, naye Esta akamweka Mordekai juu ya shamba la Hamani.

Copyright information for SwhKC