Exodus 19:9

9 a Bwana akamwambia Musa, “Nitakujia katika wingu zito, ili watu wanisikie nikinena nawe na kila mara waweke tumaini lao kwako.” Kisha Musa akamwambia Bwana yale ambayo watu walikuwa wamesema.

Copyright information for SwhKC