Genesis 41:40

40Wewe utakuwa msimamizi wa jumba langu la kifalme, na watu wangu wote watatii amri zako. Ni kuhusu kiti cha ufalme tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.”

Yusufu Msimamizi Wa Misri

Copyright information for SwhKC