Job 11:18-19


18 aUtakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini;
utatazama pande zote na kupumzika kwa salama.

19 bUtalala, wala hakuna atakayekuogofya,
naam, wengi watajipendekeza kwako.
Copyright information for SwhKC