Job 16:9


9 aMungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake,
na kunisagia meno yake;
adui yangu hunikazia macho yake makali.
Copyright information for SwhKC