Leviticus 24:9

9 aHii ni mali ya Haruni na wanawe, watakaoila katika mahali patakatifu, kwa sababu ni sehemu takatifu sana ya fungu lao la kawaida la sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto.”

Mwenye Kukufuru Apigwa Mawe

Copyright information for SwhKC