Luke 11:21-22

21 a“Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha anapoilinda nyumba yake, mali yake iko salama. 22 bLakini mtu mwenye nguvu zaidi kumliko akimshambulia na kumshinda, yeye humnyang’anya silaha zake zote alizozitegemea, na kuchukua nyara.

Copyright information for SwhKC