Matthew 11:2-7

2 aYahya aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Al-Masihi
Al-Masihi maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake
3 cili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”

4Isa akajibu, “Rudini mkamwambie Yahya yale mnayosikia na kuyaona: 5 dVipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema. 6 eAmebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.”

7 fWale wanafunzi wa Yahya walipokuwa wanaondoka, Isa akaanza kusema na makutano kuhusu Yahya Mbatizaji. Akawauliza, “Mlipokwenda kule nyikani, mlikwenda kuona nini? Je, ni unyasi ukipeperushwa na upepo?
Copyright information for SwhKC