a
Yoe 3:19
;
Sef 2:8-11
;
Yer 48:40
;
2Nya 26:6
;
Amu 6:3
;
11:14-18
;
Isa 25:3
;
Hes 24:18
Isaiah 11:14
14
a
Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti
hadi upande wa magharibi,
kwa pamoja watawateka watu nyara
hadi upande wa mashariki.
Watawapiga Edomu na Moabu,
na Waamoni watatawaliwa nao.
Copyright information for
SwhNEN