a
Yer 43:12
;
Yoe 3:19
;
Kut 12:12
;
2Sam 22:10
;
Yos 2:11
;
Isa 20:3
;
Kum 10:14
;
Isa 13:1
Isaiah 19:1
Unabii Kuhusu Misri
1
a
Neno kuhusu Misri:
Tazama,
Bwana
amepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka
naye anakuja Misri.
Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake,
nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao.
Copyright information for
SwhNEN