1 Corinthians 3:21-23
21 aHivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu, 22 bikiwa ni Paulo au Apolo au Kefa ▼▼ Yaani Petro.
au dunia au uzima au mauti, au wakati uliopo au wakati ujao, haya yote ni yenu 23 dna ninyi ni wa Al-Masihi, naye Al-Masihi ni wa Mungu.
Copyright information for
SwhKC