1 John 2:1

Al-Masihi Mwombezi Wetu

1 aWatoto wangu wapendwa, nawaandikia haya ili msitende dhambi. Lakini kama mtu yeyote akitenda dhambi, tunaye Mwombezi kwa Baba: ndiye Isa Al-Masihi, Mwenye Haki.
Copyright information for SwhKC