1 Kings 18:24

24 aKisha mliitie jina la mungu wenu, nami nitaliitia jina la Bwana Mwenyezi Mungu yule ambaye atajibu kwa moto, huyo ndiye Mungu.”

Kisha watu wote wakasema, “Hilo unalosema ni jema.”

Copyright information for SwhKC