1 Kings 5:1

Maandalio Ya Ujenzi Wa Hekalu

(2 Nyakati 2:1-18)

1 aHiramu mfalme wa Tiro aliposikia kuwa Sulemani ametiwa mafuta awe mfalme mahali pa Daudi baba yake, akatuma wajumbe kwa Sulemani, kwa sababu Hiramu siku zote alikuwa na uhusiano mzuri wa kirafiki na Daudi.
Copyright information for SwhKC