2 Chronicles 20:21

21 aAlipomaliza kushauriana na watu, Yehoshafati akawaweka watu wa kumwimbia Bwana na kumsifu katika utukufu wa utakatifu wake walipokuwa wametangulia mbele ya jeshi, wakisema: “Mshukuruni Bwana
kwa kuwa upendo wake wadumu milele.”

Copyright information for SwhKC