2 Corinthians 9:13

13Kwa sababu ya huduma ambayo mmejithibitisha wenyewe, watu watamtukuza Mungu kwa ajili ya utiifu ufuatanao na ukiri wenu wa Injili ya Al-Masihi, na kwa ukarimu wenu wa kushiriki pamoja nao na pia wengine wote.
Copyright information for SwhKC