2 Kings 2:12

12 aAl-Yasa aliona hili, naye akapaza sauti, “Baba yangu! Baba yangu! Magari ya Israeli na wapanda farasi wake!” Naye Al-Yasa hakumwona tena. Kisha akazishika nguo zake mwenyewe na kuzirarua.

Copyright information for SwhKC