2 Kings 2:3

3 aWana wa manabii waliokuwako huko Betheli wakamjia Al-Yasa na kumuuliza, “Je, unajua ya kwamba Bwana atakuondolea bwana wako leo?”

Al-Yasa akawajibu, “Ndiyo, najua, lakini msizungumze juu ya jambo hilo.”

Copyright information for SwhKC