2 Kings 23:21

21 aMfalme akatoa agizo hili kwa watu wote: “Adhimisheni Pasaka kwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu hiki cha Agano.”
Copyright information for SwhKC