Deuteronomy 17:15

15 akuweni na uhakika wa kumweka mfalme juu yenu ambaye Bwana Mwenyezi Mungu wenu atamchagua. Ni lazima atoke miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msimweke mgeni juu yenu ambaye si ndugu wa Kiisraeli.
Copyright information for SwhKC