Deuteronomy 23:5

5 aHata hivyo, Bwana Mwenyezi Mungu wenu hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapenda.
Copyright information for SwhKC