Deuteronomy 3:18

18 aWakati huo nilikuamuru: “Bwana Mwenyezi Mungu wako amekupa nchi hii uimiliki. Lakini ni lazima wanaume wenu wote wenye uwezo, wakiwa wamejiandaa tayari kwa vita, wavuke ng’ambo wakiwatangulia ndugu zako Waisraeli.
Copyright information for SwhKC