Deuteronomy 31:13

13 aWatoto wao, ambao hawaijui sheria hii, lazima waisikie na kujifunza kumcha Bwana Mwenyezi Mungu wenu kwa muda mtakaoishi katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.”

Kuasi Kwa Waisraeli Kunatabiriwa

Copyright information for SwhKC