Deuteronomy 5:15

15 aKumbuka mlikuwa watumwa huko Misri, na Bwana Mwenyezi Mungu wenu aliwatoa huko kwa mkono wenye nguvu na kwa mkono ulionyooshwa. Kwa hiyo Bwana Mwenyezi Mungu wako amekuagiza kuiadhimisha siku ya Sabato.
Copyright information for SwhKC