Ephesians 5:28-30

28Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. 29Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Al-Masihi anavyolitunza Kanisa lake. 30 aSisi tu viungo vya mwili wake.
Copyright information for SwhKC