Exodus 18:12

12 aKisha Yethro, baba mkwe wa Musa, akaleta sadaka ya kuteketezwa na dhabihu nyingine kwa Mungu, naye Haruni pamoja na wazee wote wa Israeli wakaja kula chakula pamoja na baba mkwe wa Musa mbele za Mungu.

Ushauri Wa Yethro

(Kumbukumbu 1:9-18)

Copyright information for SwhKC