Exodus 34:28

28 aMusa alikuwa huko pamoja na Bwana kwa siku arobaini usiku na mchana bila kula chakula wala kunywa maji. Naye akaandika juu ya vibao maneno ya Agano, yaani zile Amri Kumi.

Mng’ao Wa Uso Wa Musa

Copyright information for SwhKC