Ezekiel 23:14-15
14 a“Lakini yeye akazidisha ukahaba wake. Akaona wanaume waliochorwa ukutani, picha za Wakaldayo ▼▼ Wakaldayo yaani Wababeli .
waliovalia nguo nyekundu, 15 cwakiwa na mikanda viunoni mwao na vilemba vichwani mwao, wote walifanana na maafisa wa Babeli wapandao magari ya vita, wenyeji wa Ukaldayo. ▼▼ Ukaldayo yaani Babeli .
Copyright information for
SwhKC