Ezekiel 26:18


18 aSasa nchi za pwani zinatetemeka
katika siku ya anguko lako;
visiwa vilivyomo baharini
vinaogopa kwa kuporomoka kwako.’

Copyright information for SwhKC