Haggai 1:12

12 aKisha Zerubabeli mwana wa Shealtieli, Yoshua kuhani mkuu mwana wa Yehosadaki, pamoja na mabaki yote ya watu wakaitii sauti ya Bwana Mwenyezi Mungu wao pamoja na ujumbe wa nabii Hagai, kwa sababu alikuwa ametumwa na Bwana Mwenyezi Mungu wao. Watu walimwogopa Bwana.

Copyright information for SwhKC