Hebrews 1:5

5 aKwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mwenyezi Mungu alipata kumwambia, “Wewe ni Mwanangu;
leo mimi nimekuzaa?”

Au tena, “Mimi nitakuwa Baba yake,
naye atakuwa Mwanangu?”

Copyright information for SwhKC