Hosea 4:16


16 aWaisraeli ni wakaidi,
kama mtamba wa ng’ombe ambaye ni mkaidi.
Ni jinsi gani basi Bwana anaweza kuwachunga
kama wana-kondoo
katika shamba la majani?
Copyright information for SwhKC