Isaiah 42:10

Wimbo Wa Kumsifu Bwana


10 aMwimbieni Bwana wimbo mpya,
sifa zake toka miisho ya dunia,
ninyi mshukao chini baharini,
na vyote vilivyomo ndani yake,
enyi visiwa na wote wakaao ndani yake.
Copyright information for SwhKC