Isaiah 43:12


12 aNimedhihirisha, kuokoa na kutangaza:
Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu.
Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana,
“kwamba Mimi ndimi Mungu.
Copyright information for SwhKC