Isaiah 51:20


20 aWana wako wamezimia,
wamelala kwenye mwanzo wa kila barabara,
kama swala aliyenaswa kwenye wavu.
Wamejazwa na ghadhabu ya Bwana
na makaripio ya Mungu wako.

Copyright information for SwhKC