Jeremiah 18:13

13 aKwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: “Ulizia miongoni mwa mataifa:
Ni nani alishasikia jambo kama hili?
Jambo la kutisha sana limefanywa
na Bikira Israeli.
Copyright information for SwhKC