Joshua 1:11

11 a“Pitieni katika kambi yote mkawaambie watu, ‘Wekeni tayari mahitaji yenu. Siku tatu kuanzia sasa mtavuka hii Yordani ili kuingia na kuimiliki nchi ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa iwe yenu wenyewe.’ ”

Copyright information for SwhKC