a
1Kor 5:6
Luke 13:20-21
20
Isa akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mungu na nini?
21
a
Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.”
Mlango Mwembamba
(
Mathayo 7:13-14
,
21-23
)
Copyright information for
SwhKC