Luke 20:19
19 aWalimu wa sheria na viongozi wa makuhani wakatafuta njia ya kumkamata mara moja, kwa sababu walifahamu kwamba amesema mfano huo kwa ajili yao. Lakini waliwaogopa watu.Kumlipa Kaisari Kodi
(Mathayo 22:15-22; Marko 12:13-17)
Copyright information for
SwhKC