Luke 21:37

37 aKila siku Isa alikuwa akifundisha Hekaluni, na jioni ilipofika, alikwenda zake kwenye Mlima wa Mizeituni na kukaa huko usiku kucha.
Copyright information for SwhKC