Luke 6:12

12 aIkawa katika siku hizo Isa alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Copyright information for SwhKC