Mark 15:32
32 aBasi huyu Al-Masihi, ▼▼ Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
huyu Mfalme wa Israeli, ashuke sasa kutoka msalabani, ili tupate kuona na kuamini.” Wale waliosulubiwa pamoja naye pia wakamtukana. Kifo Cha Isa Msalabani
(Mathayo 27:45-56; Luka 23:44-49; Yohana 19:28-30)
Copyright information for
SwhKC