Matthew 13:17

17 aAmin, nawaambia, manabii wengi na wenye haki walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.

Maelezo Ya Mfano Wa Mbegu

(Marko 4:13-20; Luka 8:11-15)

Copyright information for SwhKC