Matthew 14:33

33 aNdipo wote waliokuwa ndani ya ile mashua wakamwabudu Isa, wakisema, “Hakika, wewe ndiwe Mwana wa Mungu.”

Isa Awaponya Wagonjwa Genesareti

(Marko 6:53-56)

Copyright information for SwhKC