Matthew 9:28-29

28 aAlipoingia mle nyumbani wale vipofu wakamjia. Naye Isa akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?”

Wakamjibu, “Ndiyo, Bwana.”

29 bNdipo Isa akagusa macho yao na kusema, “Iwe kwenu sawasawa na imani yenu.”
Copyright information for SwhKC